Video
iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii jana inaonyesha boti hiyo ikiwa
imesimama eneo ambalo mwanaume huyo alijirusha huku watu wakijadiliana
namna ya kumwokoa.
Tukio
hilo limeelezwa kufanyika katika eneo la Bahari ya Hindi "ukishapita
Msasani" ambako kuna mkondo wa maji unaodhaniwa kusababishwa na kina
kirefu cha maji.









