February 21, 2015

Chriss Boy am sorry F J PRODUCTION FILM


Kama ulimiss Ngoma kali toka kwa Msanii anayekujakwa kasi Chriss Boy iliyotengenezwa ndani ya FJ Production film waweza icheki ngoma hii ukashare na mwenzako, ili naye apate radha ile ile.